Isimu jamii na Kisomo:
Katika Bara la Afrika & jamii ya KiafrikaMtU wetu huyaleta kwa pamoja makundi mbalimbali ya wasomi wanaofanya kazi katika maeneo yaliyogawanyika sana, yakijumuisha hata hivyo hayajafungamana na kisomo, uchunguzi wa matini, lugha na elimu, sera za lugha, na lugha na afya.
pata maelezo zaidi
{ambavyo vyote kwa pamoja hushiriki shauku muhimu sana ya jamii ya Waafrika. Kujumuishwa kwa neno kisomo ni kutoa viashiria kwamba utafiti huu unaakisi shauku yetu katika kuongeza mizunguko ya tafiti kwa kuwashirikisha wasomi ambao mpaka sasa hawajajitambua kwamba wao ni wanaisimu wa vitendo.
\p Kanuni muhimu ya kueleza MtU ni kwa jinsi unavyochukulia umuhimu wa mambo ya dhana sahihi za kisomo na uwajibikaji wa tafiti. Kwa kina kabisa tunahusika na kujenga uwezo na kuboresha nafasi kwa ajili ya maendeleo endelevu kama sehemu muhimu ya vitendo vya utafiti ndani ya uwanda wa ulimwengu.
\p MAONO YETU:
\p Tunataka kushirikishana habari, kujenga taalimu na kuchochea ufanisi wa tafiti katika nyanja za isimu jamii na kisomo katika Africa na jamii za Kiafrika. Tunatazamia nyakati zijazo ambapo kisomo na kujifunza lugha vitatumika ili kuleta maendeleo endelevu katika Africa na jamii za kiafrika.
\p MIKAKATI YETU:
\p Ili kufikia mikakati yetu, tunataka kutafuta namna za kuunda nafasi ndani ya Africa na jamii za Kiafrika:
\p (i) kuanzisha tafiti za pamoja kuhusiana na lugha, kisomo, na kujifunza, pia kuhusisha fasihi, utamaduni unaokubalika, uandishi wa ubunifu, vyombo vya habari na masomo ya tamaduni katika Africa chini ya mfumo wa kisomo cha elimu na mfumo wa lugha nyingi katika Africa
\p (ii) Kutia chachu midahalo inayohusiana na gunduzi za tafiti zinazoendana na isimu jamii na tafiti za kisomo
\p (iii) kushirikishana gunduzi za tafiti katika jamii, majimbo, na jumuia za kimataifa za tafiti
\p (iv) kushauri tafiti zinazofanywa na wanfunzi na wasomi wengine wanoibuka
\p (v) kukuza ushirikiano na mashirika mengine yanayojishughulisha na na lugha, kisomo, na kujifunza
\p (vi) kutoa habari kuhusiana vyanzo vya fedha na tuzo kwa ajili ya tafiti zinazohusiana na MtU
\p (vii) kutangaza mikutano, mikusanyiko, na warsha zinazohusiana na malengo ya nyakati hizo za MtU
\p (viii) Kutoa habari kuhusu vitabu, majarida, na karadha zenye turuhani zinazoendana na wanachama a MtU}
Habari
ambavyo kwa pamoja hushiriki shauku muhimu sana ya jamii ya Waafrika. Kujumuishwa kwa neno kisomo ni kutoa viashiria kwamba utafiti huu unaakisi shauku yetu katika kuongeza mizunguko ya tafiti kwa kuwashirikisha wasomi ambao mpaka sasa hawajajitambua kwamba wao ni wanaisimu wa vitendo.
Kanuni muhimu ya kueleza MtU ni kwa jinsi unavyochukulia umuhimu wa mambo ya dhana sahihi za kisomo na uwajibikaji wa tafiti. Kwa kina kabisa tunahusika na kujenga uwezo na kuboresha nafasi kwa ajili ya maendeleo endelevu kama sehemu muhimu ya vitendo vya utafiti ndani ya uwanda wa ulimwengu.
MAONO YETU:
Tunataka kushirikishana habari, kujenga taalimu na kuchochea ufanisi wa tafiti katika nyanja za isimu jamii na kisomo katika Africa na jamii za Kiafrika. Tunatazamia nyakati zijazo ambapo kisomo na kujifunza lugha vitatumika ili kuleta maendeleo endelevu katika Africa na jamii za kiafrika.
MIKAKATI YETU:
Ili kufikia mikakati yetu, tunataka kutafuta namna za kuunda nafasi ndani ya Africa na jamii za Kiafrika:
(i) kuanzisha tafiti za pamoja kuhusiana na lugha, kisomo, na kujifunza, pia kuhusisha fasihi, utamaduni unaokubalika, uandishi wa ubunifu, vyombo vya habari na masomo ya tamaduni katika Africa chini ya mfumo wa kisomo cha elimu na mfumo wa lugha nyingi katika Africa
(ii) Kutia chachu midahalo inayohusiana na gunduzi za tafiti zinazoendana na isimu jamii na tafiti za kisomo
(iii) kushirikishana gunduzi za tafiti katika jamii, majimbo, na jumuia za kimataifa za tafiti
(iv) kushauri tafiti zinazofanywa na wanfunzi na wasomi wengine wanoibuka
(v) kukuza ushirikiano na mashirika mengine yanayojishughulisha na na lugha, kisomo, na kujifunza
(vi) kutoa habari kuhusiana vyanzo vya fedha na tuzo kwa ajili ya tafiti zinazohusiana na MtU
(vii) kutangaza mikutano, mikusanyiko, na warsha zinazohusiana na malengo ya nyakati hizo za MtU
(viii) Kutoa habari kuhusu vitabu, majarida, na karadha zenye turuhani zinazoendana na wanachama a MtU}
Habari
- Matangazo ya Mkutano wa Kimataifa wa Elimu: JUKAHE Jamii ya Ulinganifu wa Kusini mwa Afrika na Historia ya Elimu (JUKAHE) Mkutano wa Kimataifa wa Mwaka utafanyika tarehe 31 Mwezi wa kumi mpaka 2 Mwezi wa kumi na moja 2009, kwenye manzari safi ya Winelands huko magharibi mwa kepu sehemu za Stellenbosch, Afrika kusini, ikifuatiwa na siku mbili za kutembelea sehemu za kitalii na elimu . Mkutano wa Kentoni unafuata Mkutano wa JUKAHE, 5 mpaka 8 Mwezi wa kumi na moja 2009, ukitoa uwezekano wa washiriki kushiriki mikutano miwili itakayofuatana. Mkutano wa JUKAHE utakuwa na dhima pana, jukumu la washikadau katika Ukuaji wa elimu katika bara la Afrika, watunga sera, elimu ya walimu, vyama vya walimu, vitengo vya elimu, NGOs/CBOs na vyama vingine vya kiraia. Mfumo wa mkutano utajumuisha makala ndefu, warsha, matini na uwasilishaji wa mabango. Maelezo ya kina yanaweza kupatikana kutoka kwa Profesa. Harol Herman na b-pepe (hherman@uwc.ac.za and haroldherman@mweb.co.za) au Simu/Faksi: +27-21-855 5577. Wasomi wa Kimataifa na wakala katika eneo la Ulinganifu, Kimataifa, Maendeleo Elimu, Historia na Mahusiano ya Elimu wanakaribishwa kuhudhuria na kushiriki. Pata maelezo zaidi katika tovuti yetu: www.saches.co.za
Afrika MtU Njia mwingiliano
Pekua kura zetu zinazokua kila siku orodha ya tovuti tulizopitisha kwa ajili ya vyenzo tarehe lugha vya kisomo katika Afrika, HTK, jinsia, sera za lugha na zaidi. Bofya hapa
Bofya hapa

Uunganishwe!
Vinjwari kwenye matukio yetu matangazo, vyenzo vya kujifunza, na fursa za harambee.